Pichani juu ni baadhi ya wadau wa Soka
waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia kwenye masinki ya kunawia mikono
kama waonekanavyo pichani.
Hapa baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika wanalichukuliaje jambo hili
lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja wa wetu wa mpira,ambao
umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya watu kama hawa
wamekuwa wakiharibu maeneo na vifaa mbalimbali ya uwanja huo ikiwemo na
kugeuza matumizi yake.
No comments:
Post a Comment