Kijana huyu aliyetambulika kwa jina moja la Bahati ambaye alikuwa akijishughulisha na uuzaji wa mifuko ya plastiki maarufu kama rambo amekutwa akiwa amekufa baada ya kujinyonga juu ya mti jirani na ufukwe huko mjini Bukoba mkoani Kagera.Mwili wa marehemu umepelekwa hospitali kwa kuhifadhiwa kwa ajili ya utambuzi na utaratibu mwingine kuendelea.
No comments:
Post a Comment