Pages

Translate

Wednesday, 23 October 2013

TABIA MBAYA:....KIJANA ATUPIA PICHA ZA UCHI ZA PENZI WAKE BAADA YA KUACHWA


3
1
Huyu  naye ni  mwanamke  mwingine  asiyeijua  thamani  ya  mwili  wake  baada  kukubali  kupigwa  picha  akiwa mtupu…

 Alikuwa na  mpenzi  waliyependana  kiasi  cha  kumpa  kila  kitu  hadi kukubali  kupiga  picha  chafu  za  uchi…
 Wahenga  walishasema  kuwa  hakuna  marefu  yasiyo  na  ncha.Penzi  lao  lilifikia  tamati  baada  ya  kupishana  kauli  na  hivyo  wakaamua  kumwagana…
2
Maagano  yao  hayakuwa  ya  amani, hali  iliyomfanya  mwanaume  amalizie  hasira  zake  kwa  kufungua fake  account  ya  facenook  yenye  jina  la  mpenzi  wake  na  kisha  kumtupia  akiwa  mtupu

No comments:

Post a Comment