Pages

Translate

Monday, 17 June 2013

DUNIANI KUNA MENGI, ANGALIA MAAJABU YA MUNG KATIKA UUMBAJI


Duniani kuna mambo. wanasema ukistaajabu ya Musa utaona na ..............

Huyu  ni  binadamu  mwenzetu  aliyezaliwa akiwa na miguu sita ikiwa imepishana pishana.
 
Chakujiuliza ni je?

Anakaaje,  anasimama vipi.....na  anatembeaje yote tumwachie  mwenyezi mungu muumba wa ardhi na mbingu kwani ndiye aliyeamua  iwe hivyo kwa kiumbe wake

No comments:

Post a Comment