Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka
'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo
jina lake hakutaka kulitaja mara moja.
SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO CHINI...
maindasmallbabyTrowback.......imebaki
historia tu......maana magonjwa sasa hayana nafasi kwangu....nimejua kwa
kupigwa kwake Yesu mimi nilishaponywa kitambo. Asante yesu kwa kuchukua
udhaifu wangu,magonjwa yangu,unyonge wangu...na Umenipa Tumaini maisha
yangu yote acha nikutumikie ipasavyo.japo najua nitakutana na vikwazo
ila nitashinda coz wewe ulishafanya njia siku nyingi.mapambano
yanaendelea huku nikizidi kukukili wewe Yesu kuwa ndie Bwana na Mwamba
wangu....EMMANUEL:GOD with US.........
No comments:
Post a Comment