Mashuhuda wa mwanzo wanadai walimkuta
bibi huyo akitapatapa bila kujua nini la kufanya huku akiwa mtupu na
nguo zake zikiwa pembeni kitendo kilichotafsiriwa kwamba pengine bibi
huyo anaweza kuwa mchawi,huku wengine wakisubiri taarifa ya polisi na
wengine wakisema huenda bibi huyo alipatwa na matamanio ya kimwili.
Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba
ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana
kukutwa chumbani kwa mtu huku akiwa mtupu chumbani kwa mtu.
Mpaka
sasa bado haijajulikana kama ni Kigarura au pengine alipata matamani ya
mwili akaona pengine chumba kile kingemfaa kumpatia msaada wa mambo
yake.
Bibi
Kizee huyo anakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 70,ambapo amekamatwa
alfajiri ya leo January 31 hata hivyo polisi wamefanikiwa kumnusuru na
kifo baada ya kumchukua na kumpeleka kituo cha polisi.
Mashuhuda
wa mwanzo wanadai walimkuta bibi huyo akitapatapa bila kujua nini la
kufanya huku akiwa mtupu na nguo zake zikiwa pembeni kitendo
kilichotafsiriwa kwamba pengine bibi huyo anaweza kuwa mchawi,huku
wengine wakisubiri taarifa ya polisi na wengine wakisema huenda bibi
huyo alipatwa na matamanio ya kimwili.
No comments:
Post a Comment