Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Hussein
Shaban(35) amefumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.
Kisa hichohilo kilitokea kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi.
Baada ya kukamatwa ugoni mwanaume huyo inadaiwa kuwa watu wenye hasira kali walimvua nguo na kumtembeza uchi
No comments:
Post a Comment