Pages

Translate

Tuesday, 21 January 2014

LESEGO MOTSEPE ALIYEKUWA MWIGIZAJI WA ISIDINGO AMEFARIKI DUNIA



JOHANNESBURG – Mwigizaji Lesego Motsepe, aliyekuwa akifahamika kwa jina maalufu Lettie Matabane kwenye channel ya SABC 3 kipindi cha Isidingo, amefariki.
Motsepe alikutwa akiwa amekufa nyumbani kwake jana mida ya saa 5 asubuhi
Mwigizaji huyo aliyekuwa jasiri na kuuthibitishia umati watu ujasiri aliouonyesha siku ya Ukimwi duniani mwaka 2011 kwa kujitangaza hadharani kuwa amekuwa akiishi na virusi vya ukimwi tangu mwaka 1998

st p3 sec FILE Lesego Motsepe6.JPG

Gabi Tabane msemaji na kaka wa marehemu amesema kuwa familia imepata pigo kwa kuondokewa na dada yao Lesego
“Today, we are really heartbroken to share that Lesego Motsepe passed away. She was found dead this morning at 11 o’clock by her brother Moemise Motsepe,” he says. tafsiri " leo tunasikitika kuwaambia kuwa Lesego Motsepe amefariki. amekutwa akiwa amekufa asubuhi ya leo saa 5 na kaka yake Moemise Motsepe," alisema msemaji huyo.
"Na uthibitisho wa kifo hicho ulitangazwa na dactari saa saba mchana aliyesema kifo chake kimesababishwana mambo ya kawaida  ambayo ni natural causes" Motsepe alikuwa na umri wa miaka 39

Mwaka 2012, Motsepe aliamua kuachana na matumizi ya vidonge na kuendelea kuishi kwa kutumia mlo maalimu kwa ajili ya afya yake


iol news pic Lesego Motsepe
 mwanadada aliyekuwa mcheshi, mshauri, mwanamashairi, mwimbaji, mwigizaji na msimulizi wa hadithi atakumbukwa na vijana wwengi ambao wamesema kuwa wamepoteza nyota iliyokuwa ikiwaonyesha dira ya junsi gani kijana aweza kuisshi na kujiamini katika maisha yenye changamoto nyingi kwao.

No comments:

Post a Comment