Pages

Translate

Tuesday 21 January 2014

KANYE WEST AANZISHA DINI YAKE !!!!!!!!!!!!!!!!!!


 
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website kwa ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo wanatumia sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa dini hii alisema ““Kanye West is the most honest person in our culture.He has the highest moral standards and highest integrity. He is the most creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that they don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the press gives it this negative spin all the time”
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa ‘I Believe In Yeezus’.

Hata hivyo watanzania waonywa kuwa makini na kufuata mkumbo kwani dunia ya sasa ina mambo mengi ambayo usipokkuwa makini wawezajikkuta umwingia kwenye majuto yasiyokuwa na mjukuu.

Hivi karibuni katika kanisa la T.A.G Magoneni katika mafundisho yanayoendelea mchungaji Danstun Kanemba alisema kuwa japo kuwa kuna watu wengi wanaheshimika sana katika dunia hii na wengine kuwafanya watu au vitu hivyo kama mungu wao, lakini ikumbukwe kuwa Yesu pekee ndiye Bwana na ni mkuu kuliko wote na wanadamu wote twatakiwa kumtukuza na kumwinua yeye pekee.



waraka kwa waebrania 10:26-31

No comments:

Post a Comment