BINTI AMDUNDA MANGUMI MBEBAJI BAADA YA KUMWANGUSHA KWENYE DIMBWI LA MAJI WAKATI AKIMVUSHA
Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam
Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi
Dada akilia baada ya kuokolewa.
No comments:
Post a Comment