Alipolazwa, madaktari walichukua picha za x-rays na MRI ba kugundua kuwa Feng alikuwa amebaba mimba isiyokua na hivyo kuamua kumfanyia upasuaji.

Waliiondoa mimba hiyo changa iliyokuwa na upana wa cm 20 na tayari ilikuwa imeanza kuwa vidole. Mimba hiyo ilitakuwa kuwa pacha wa mtoto huyo. Pacha huyo wa sponji angekua na kuwa mtoto wa kiume.

Mapacha wanaofanana hutokea pale yai linapojigawa wakati wa urutubishaji na mapacha walioungana hutokea pale yai linaposhindwa kujigawa.
No comments:
Post a Comment