Pages

Translate

Tuesday 3 September 2013

RAY ATEMBELEA KABURI LA KANUMBA



Staa wa filamu za Kibongo Vincent Kigosi‘Ray’hivi karibuni alilitembelea kaburi la swahiba wake marehemu Steven Kanumba Kinondoni,Dar aliyefariki dunia April 7,mwaka jana.
Ray alipost picha akiwa kaburini na kuandika kuwa ‘nilipita makaburi ya kinondoni kumuombea ndugu yangu Kanumba The Great Mungu Ampumzishe Kwa Amani. R.I.P STEVEN KANUMBA’aliandika Ray.
Ray amekuwa mmoja wa wasanii wanaolitembelea kaburi hilo mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment