 
 
Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.
 
 
...Akipewa chakula, wali na maharage kutoka kwa wasamaria wema.
 
 
Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa. 
 
 
Watu waliokusanyika kumshangaa.
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja, jana majira 
ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alidaiwa 
kuanguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo 
walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali kama anavyoonekana 
pichani.
 
 
No comments:
Post a Comment