Pages

Translate

Thursday, 4 July 2013

WAZIRI MULUGO ''AKABIDHIWA'' MKOA MPYA

  Naibu Waziri Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo

MKOA wa Mbeya umepitisha mapendekezo ya mkoa mpya ambao makao yake makuu yatakuwa katika eneo la Mkwajuni ambako ndiko liliko jimbo la Naibu Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philip Mullugo.

Mapendekezo hayo yamepishwa leo katika kikao cha RCC kilichoketi katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa Jijini Mbeya.

Jina la mkoa huo limependekezwa kuwa uitwe mkoa wa Songwe.
Via/www.kalulunga.blogspot.com

No comments:

Post a Comment