MENEJA WA UWANJA NDUGU KASILATI MWAKIBETE AKIZUNGUMZA JAMBO JUU YA MAANDALIZI YA NANE NANE 
| KATIBU WA TASO KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI NDUGU RAMADHANI KIBOKO AKITOA UFAFANUZI WA KINA JUU YA MASWALA NA MAANDALIZI YA NANE NANE MWAKA HUU. | 
| MWANDISHI WA HABARI EZEKIEL KAMANGA AKIULIZA MASWALI | 
| BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA KWA MAKINI KIKAO AMBACHO KILIKUWA KINAZUNGUMZIA JUU YA MAANDALIZI YA NANE NANE KWA MWAKA HUU 2013 | 
 KATIBU TAWALA WA MKOA WA MBEYA MARIAMU MTUNGUJA AKIANDIKA MASWALA AMBAYO YALIKUWA YANAONGELEWA KATIKA KIKAO HICHO 
 BAADHI YA WAJUMBE WAKIWA WANAFUATILIA KIKAO 
| MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANAS KAPUNGA AKICHANGIA KATIKA KIKAO HICHO | 
 BAADHI YA VIONGOZI WA MIKOA NA WILAYA WAKITEMBELEA MABANDA YAO KWA  AJILI YA MAANDALIZI.
 KAZI ZIKIWA ZINAENDELEA KATIKA MAANDALIZI YA NANE NANE 
| BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI YAKIWA YANAANDALIWA KWA AJILI YA NANE NANE | 
 
 
No comments:
Post a Comment