DJ Tariq akiwa kwenye masikito na hudhuni na badae kuangua kilio baada ya team aliyokuwa anaishaingilia kufungwa JANA Usiku,ambapo Kundi A la Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara lilimaliza Mechi zake kwa Wenyeji Brazil kuifunga Italy Bao 4-2 na kuchukua ushindi wa Kundi hilo huku Italy wakiwa Washindi wa Pili.
Masikini dj Tariq ungefanikiwa kumwona ungemwonea hurumu,Ama kweli ushabiki ni noma,usishangae kusikia au kuona mtu kajiuwa baada ya timu yake kufugwa: |
No comments:
Post a Comment