WASANII
MAARUFU NCHINI JB,IRENE UWOYA,BANANA ZORO,RICHIE,MBOTO,WASTARA NA
JOHARI WAJIUNGA NA CCM WAPEWA KADI NA RAIS KIKWETE JIJINI MBEYA
KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM
WATOTO WA MJINI WANASEMA KAMA UMESHINDWA KUWA SHABIKI WA GAME NYINGINE HATA HUU NI MCHEZO MZURI WAWEZA KUSHABIKIA TUU HALAFU TUONE MWISHO WA GAMU NINI KINATOKEA
No comments:
Post a Comment