Pages

Translate

Monday, 20 January 2014

MWANDISHI WA BBC AFARIKI DUNIA GHAFLA

 Mwandishi wa BBC Komla Dumor



 
MWANDISHI wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo.



Alikuwa na miaka 41 alipopata mauti yake.Komla Dumor ameelezewa kuwa miongoni mwa waandishi shupavu barani Afrika.

Rais wa Ghana John Dramani Mahama amemtaja marehemu kama zawadi ya Ghana ulimwenguni na kuongezea kuwa Ghana imempoteza mmoja wa wajumbe wake.

Komla hivi karibuni alikuwa anaongoza kipindi cha Runinga kinachozungumzia maswala ya Afrika baada ya kufanya kazi katika radio mmoja nchini Ghana na vilevile radio ya BBC.

Muhariri wa habari za ulimwengu Andrew Whitehead amemtaja kuwa mwadishi shupavu aliyekuwa na uhusiano mzuri na wasikilizaji.
BBC
 

Komla Dumor · 115,203 like this
October 7, 2011 at 12:08pm ·
It's been a busy week and now it's Friday.I'll be back on Monday on World service Radio-I leave you with one of my favorite Steve Jobs Quotes- think about this and have a lovely weekend-"Remembering that I'll be dead soon is the most important tool I've ever encountered to help me make the big choices in life. Because almost everything – all external expectations, all pride, all fear of embarrassment or failure – these things just fall away in the face of death, leaving only what is truly important." Na huu ni kati ya ujumbe wake kwenye wall yake ya facebook. Hakika atakumbukwa




No comments:

Post a Comment