Pages

Translate

Monday, 20 January 2014

CLOUDS FM YAWASAMEHE B12, DIVA, ADAM MCHOMVU NA KUWARUDISHA KAZINI

WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.

Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.
 
 

Adam Mchovu, B12 na Dj Fetty



Lakini leo katika kipindi cha XXL watangazaji hawa wamesikika tena baada ya muda mrefu kutokuwa hewani, kitu kilicho pelekea tetesi hizo kuaminika kuwa ni kweli.

kupitia mtandao wa twitter B Dozen(B12) amendika maneno haya  

"WE BACK AGAIN In BIZNEZ..Double XL Kwa Hewa with B Dozen , fetty,Baba Jonii,Dj Steve B Mpaka kumi za jioni, Along side DeeAndy n Soudy Brown"

Dj Fetty naye ameandika "I think everyone should experience defeat at least once during their career. You learn a lot from it."  

na kumalizia katika tweet nyingine akisema "expect what u have missed for a while now....my voice..xxl baby".

No comments:

Post a Comment