Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele,
wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika katika Kata
ya Tungi mjini Mororgoro .
Mwenyekiti
wa Chama ch Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa katika mkutano wa
Operesheni M4C pamoja Daima.
Mwanamuziki
wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akiwahutubia wananchi wa Kata ya
Tungi mjini Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoj
Daima.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima.
Sehemu
ya maelfu ya wakazi wa mji wa Ifakara, wakitawanyika baada ya mkutano
wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana.
Baadhi
ya wa mji wa Ifakara wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali,
wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokreasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Kawe,
Halima Mdee wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika mjini Ifakara.
.Maelefu
ya wakazi wa mkji wa Ifakara, wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa
Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mweneyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
No comments:
Post a Comment