WIVU WA MAPENZI WAMFANYA MICHELLE KUBADIRISHANA KITI NA MUMEWE OBAMA HUKO A. KUSINI
Inaonekana Rais Obama
alikuwa na wakati mzuri sana katika Mandela's Memorial service mpaka
pale mke wake Mitchelle Obama alipoingilia kati ka kuharibu kila kitu,
unaweza ukawa Rais wa Dunia ila mke wako akisema badili siti tu,
Mtazame Michelle Obama yupo pembeni anafatilia kwa makini mno
Inaonekana hapo Mitchelle Obama aligeuka na kuangali kinachoendelea baina ya Obama na Huyu mwanamke
hapa Obama alikuwa Bize huku huyu mwanamke akionekana kuendelea kupiga story
Baada ya uvumilivu kumshinda Mitchelle Obama akaamua kubadilisha siti ili mumewe asisumbuliwe tena.
Mapenzi noma sana
No comments:
Post a Comment