Pages

Translate

Thursday 7 November 2013

AZIKWA AKIWA HAI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAE WA KUMZAA KISHIRIKINA MBEYA


HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POLISI

MOJA YA NDUGU WA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKIELEZEA KWA KIFUPI JINSI NDUGU YAKE ALIVYOZIKWA AKIWA HAI HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO MARA BAADA YA KUFUKULIWA MWILI HUO

mwandishi Godfrey Kahango akisikiliza kwa umakini maelezo kutoka kwa ndugu wa marehemu

No comments:

Post a Comment