Pages

Translate

Monday, 16 September 2013

WAPINZANI WAFANYA PRESS. CONFERENCE LEO



Wenyeviti wa vyama vya Siasa vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi leo wamekukutana na wahariri na waandishi wa habari kueleza mikakati na mbinu watakazozitumia kunusuru Taifa lisiingie kwenye utungaji wa Katiba Mpya itakayobeba masilahi ya chama tawala.


No comments:

Post a Comment