Pages

Translate

Wednesday 4 September 2013

UNGELIKUWA WEWE UNGEWEZA?


Ni mwanajeshi kutoka Marekani,miaka ya hivi karibuni alikua vitani ambapo alipoteza miguu yake miwili katika shambulio la bomu la kurushwa kwa mkono,aliporudishwa nyumbani kwa matibabu akilini alishajua amepoteza vingi maishani,akiwemo mkewe wa ndoa,ila tofauti na alivyotarajia mkewe ndio alikua mstari wa mbele kuhakikisha mumewe anapata matibabu stahiki na huduma zote muhimu,mpaka sasa mwanadada huyo amekua ni gumzo na shujaa katika jamii inayomzunguka,je ni wangapi mnaweza kufanya huu ushujaa pindi linapotokea tatizo kama hili?je tunajifunza kutoka kwa wenzetu wanaotuzunguka? Wanandoa inatubidi kumaanisha wakati wakuoana na kutoa kiapo kama hiki kwani kiuhalisia katika maisha ya mwanadamu kuna kupanda na kushuka hivyo wakati wote tuwe tayari kupokea matokeo yoyote yatakayokuja mbele yetu. CHUKUA SOMO

No comments:

Post a Comment