Kila kukicha vita dhidi ya biashara
haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto, wakati mataifa
mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na
wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za kusafirisha dawa
hizo.
Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa
Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia
ambalo ndani yake alificha kilo mbili za dawa za kulevya aina ya
Cocaine.
No comments:
Post a Comment