Pages

Translate

Thursday, 19 September 2013

MTU MMOJA AUAWA KWA KUSHAMBULIWA NA SIMBA WAWILI WAKATI AKIELEKEA SHAMBANI HUKO LINDI..!!


Hili  ni  tukio  la  kutisha  lililomkumba  mtanzania  mwenzetu  ambaye  ni  mkazi  wa  kijiji  cha  Lionja  kilichoko  wilayani Nachingwea  katika  mkoa  wa  Lindi...
Mtanzania  huyo  alishambuliwa  na  simba  wawili   na  kubakizwa  vipande  vipande   alfajiri  wakati  akielekea  katika  shamba  lake  la  korosho

 
 
Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu. 

No comments:

Post a Comment