Pages

Translate

Tuesday 3 September 2013

MTOTO AMUOA MAMA YAKE NA KUMPACHIKA MIMBA MAMA YAKE MZAZI...!!!




woman to marry her own son
  Maswahibu haya yametokea nchini Zimbabwe baada ya  Mwanamke Betty Mbereko, (40) ni mjane anayeishi na mwanae wa kiume mwenye miaka 23 Farai Mbereko ambaye ameamua kuoana nae
wapenzi hawa ambao wameamua kuzidisha mapenzi yao kwa kiwango cha kushangaza kwa ajili ya maandalizi ya kumpokea mtoto mtarajiwa 
mwanamke Betty ambaye ni mkazi wa Mwenezi mjini Maswingo kwa sasa ana mimba ya miezi 6 ameamua kuoana na mwanae kwa kuwa hataki kuolewa na shemejie yaani mdogo wa marehemu muewe ambaye ndiye inatakiwa amrithi kwa taratibu za huko kwao
Mwanamke aliushangaza umati mahakamani baada ya kuwaambia kuwa uhusiano wake yeye na mwanae walianza uhusiano kimapenzi miaka mitatu iliyopta
Na kudai kuwa baada ya kutumia pesa nyingi sana kumpeleka mwanae Farai shule wakati hana mume sasa haoni sababu ya mwanamke mwingine kufaidi pesa za kijana huyo zaidi yake yeye mwenyewe. 
Mungu atuhurumie

No comments:

Post a Comment