Pages

Translate

Thursday 5 September 2013

HUU MWIZI AKATWA MKONO NA KISHA KUACHWA AONDOKE ZAKE...!!




kiganja cha mwizi kilichokatwa na kisha mwizi kuachiwa aende zake

Kijana mmoja ambae hakujuilkana jina lake mpaka anaondoka maeneo ya Buzuruga mjini mwanza aliambulia kukatwa mkono wake baada ya kukamatwa akiwa ameiba simu ya mama mmoja aliekuwa amepanda nae daladala. katika hali ya kustaajabisha mwizi huyo baada ya kukamatwa watu walisema inabidi apewe adhabu itayomfanya asirudie tena kuiba, ndipo walipoamua kumkwata mkono na kumuacha aende zake...

No comments:

Post a Comment