WANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA MTONI HUKO MBEYA
Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa.
Fimbo hizo ni silaha walizokuwa
wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia
huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani Mbeya.
Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao
wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali
huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko
na mgambo.
-Via Kalungula
No comments:
Post a Comment