LICHA ya kunaswa katika matukio tofauti, Wema Sepetu Safari hii amenaswa akimshushia busu motomoto jamaa anayefahamika kwa jina la Rommy Jonson.
Picha hiyo ambayo inamuonesha Wema akiwa anambusu jamaa huyo katika pozi lenye hisia kali za kimalovee, imenaswa juzikati katika mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo wadau mbalimbali walioiona kwa mara ya kwanza, walitoa maoni yao.
“Mh! Jamani Wema sasa amezidi hata huyu naye? Kama ni picha ya kawaida kwa nini aoneshe hisia za kimalovee kiasi hiki? Kuna kitu,” alihoji mdau mtandaoni ingawa Wema hakujibu chochote.
No comments:
Post a Comment