Pages

Translate

Thursday, 22 August 2013

HAWA NDO WATOTO WA BILIONEA ALIYE UWAWA ARUSHA WAKIWA TAYARI KUSIKILIZA KESI DHIDI YA MAUAJI YA BABA YAO





Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na 
Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).

No comments:

Post a Comment