Msafara wa Rais Barack
Obama ukipita katika barabara ya New Bagamoyo katika eneo la Mwenge jijini Dar
es Salaam jana kuelekea Ubungo
Gari ya Rais wa Marekani Barrack Obama,ikitoka kwenye kiwanda cha kufua umeme cha Symbion eneo la Ubungo kabla ya kuelekea uwanja wa ndege
Gari ya Rais wa Marekani
Barrack Obama,ikitoka kwenye kiwanda cha kufua umeme cha Symbion eneo la Ubungo
kabla ya kuelekea uwanja wa ndege
Akiwa anaelekea Airport tayari kwa safari ya kurudi Marekani
No comments:
Post a Comment