Pages

Translate

Tuesday, 2 July 2013

BARACK OBAMA AKIONYESHA KIPAJI KATIKA MCHEZO WA SOKA AKIWA TANZANIA

.


Rais Kikwete akimwangalia Obama wakati akipiga mpira danadana.OBAMA akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea mit
ambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini.Hapa akipiga danadana huku akishuhudiwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment