Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.

 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha 
Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la 
ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya 
askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es 
Salaam. 

 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitia saini 
katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
 Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana
 na shambulizi la ghafla, wakati Rais na viobgozi wengine walipofika 
kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja
 wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.

 Makamu
 wa Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi 
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini 
Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, wakati Makamu na viobgozi 
wengine walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari 
hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.

 Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo 
ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza 
maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, 
wakati walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao
 leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.

 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiwafariji wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari
 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha 
Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la 
ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya 
askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es 
Salaam.

 Makamu
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, akiwafariji wafiwa baada 
ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la 
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini 
Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi 
la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika 
Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. 

 Mwenyekiti
 wa Makampuni ya IPP, Regnard Mengi, akiwa na baadhi ya viongozi, 
wakitoa heshima za mwisho mbele ya Majeneza yenye miili ya Askari wa 
kulinda Amani, wa jeshi la Ulinzi la Tanzania, waliokufa huko Darfur 
Julai 13, 2013, wakati wa zoezi la kuagwa miili hiyo lililofanyika leo 
kwenye Uwanja wa Wizara ya Ulinzi, Upanga jijini Dar.

 Rais
 Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Bilal, na viongozi wengine wakiwa 
katika shughuli hiyo ya kuagwa miili ya askari hao leo kwenye Uwanja wa 
Wizara ya Ulinzi Upanga Dar es Salaam. 

 Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, John Nchimbi akiteta jambo na Waziri wa 
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, wakati wakiwa 
katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la 
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini 
Sudan kutokana na shambulizi la ghafla. Kulia ni Katibu wa CCM, 
Abdulrahman Kinana.

 Majeneza yenye miili yakiwa eneo la tukio tayari kuagwa.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa zoezi hilo.

 Mkuu wa Majeshi,Jenerali Davis Mwamunyange, akizungumza wakati wa zoezi hilo.

 Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.

 Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.

 

 
No comments:
Post a Comment