Pages

Translate

Monday 1 July 2013

OBAMA ATUA BONGO LAND

 

Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo.
VIDEO YA KUWASILI KWA RAIS OBAMA HII HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment