![]() |
Abiria waliokuwa wanasafiri kwa basi la Sumry
kutoka Sumbawanga kwenda Mbeya jana walinusurika kifo baada ya basi hilo kuacha
njia katika maeneo ya kijiji cha Tamasenga Sumbawanga.
|
![]() |
Kijana Peter Makwaya aliyenusurika katika
ajali akiwa amepatiwa matibabu na hali yake inandelea vizuri
|


Picha hizi zimepigwa kwa simu na kdadycool blog
No comments:
Post a Comment