Ni ngumu kuamini kwamba wapenzi hawa walibadili jinsia zao ‘transgender’
mvulana akawa msichana na msichana akawa mvulana na sasa ni wapenzi
wakiwa na jinsia zao mpya.
Kushoto Arin (zamani msichana) na kulia Katie (zamani mvulana)
Miaka miwili iliyopita vijana hawa Arin Andrews (17) na Katie Hill (19)
kutoka Oklahoma, Marekani walifanyiwa surgery ya kubadili jinsia zao na
sasa wanaishi kwa furaha wakiwa na jinsia walizokuwa wakiziota.
Kabla ya kubadili jinsia zao Arin alikuwa msichana kwa jina la Emerald, na Katie alikuwa mvulana aitwaye Luke.
Kushoto ni Emerald Andrews kabla hajawa mvulana wa sasa (Arin) na kulia ni Luke Hill kabla hajawa msichana wa sasa (Katie)
Katie ambaye ni mwanafunzi wa chuo alifanyiwa upasuaji na bubadili
jinsia kwa msaada wa mchango wa $35,000 kutoka kwa mfadhili ambaye
alisoma habari yake kwenye chombo cha habari.
Arin ambaye bado yupo shule pia alifanyiwa upasuaji wa kuondoa matiti
yake na sasa anafurahia kuonesha kifua chake cha kiume baada ya kuanza
kwenda gym, kitu alichokuwa hawezi kufanya hapo kabla kutokana na kuwa
na mwili wa kike,
‘Now I can wear a tank top, which I couldn’t before, I can go swimming
shirtless, I can walk outside, I can just be a regular guy now. I hated
my breasts, I always felt like they didn’t belong – now I can finally be
comfortable in my own body. ‘Now when I’m out in a public pool, or
lifting weights, no-one raises an eyebrow, they just think I’m a guy –
just a skinny dude in the gym trying to build some muscle”. Alisema Arin
Arin aliongeza kuwa ameshangazwa na jinsi familia yake ilivyompa sapoti
katika hatua zote za upasuaji na uamuzi wake wa kubadili jinsia.
No comments:
Post a Comment