MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack  Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya  kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake  nyeti. 
Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi  wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro,  Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa  Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake  halikufahamika.
Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha  bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake  hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha  kwa kutovaa ‘kufuli’.
 


 
No comments:
Post a Comment