Mkasa huu umetokea huko Congo ..Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga |
No comments:
Post a Comment