NDUGU WATANZANIA,
Taarifa hizi ni za uongo, uzushi na zilizokosa msingi kimantiki na kisheria. Ndungu zangu mwenzetu Alex yu mzima na buheri wa afya na kwasasa anaweza kuongea na anapumua kwa kutumia pumzi yake mwenyewe isiyo kuwa na usaidizi wa machine. hizi ndizo taarifa sahihi. Pia we are making an arrangement to know how we can deal with this unscrupulous bloger na tunashauriana jinsi ya kufungua kesi dhidi ya upotoshaji huu uliokithir. tafadhali msiziamini taarifa hizi ni za uongo. Alex is still alive well and sound.
Haya hayo ni baadhi ya maneno ya wasomaji wakijibu kuwa Alex ni mzima na anaendelea vizuri na majib haya yamekja baada baadhi ya media kutoa taarifa kuwa mwanafunzi huyo amefariki dunia
 
Na hizi ni taarifa zilizotolewa na baadhi ya media: