Pages

Translate

Saturday 29 June 2013

UJIO WA OBAMA ......AIRPOT YA DAR NA ZANZIBAR ZIKO BIZE WANAJESHI WAKUMWAGA



 Baadhi ya Helkoper za kijeshi toka Marekani ambazo zinadaiwa zimeanza kutua kwenye Air Port ya Zanzibar na Dar kwa ajili ya kuimarisha usalama wa Rais wa nchi hiyo.

 Pia ndege maalum ya kivita itasindikiza Air Force One ya Rais Barak Obama

 
  Askari maalum wa kulinda ndege ya Rais

  Walinzi wa rais Obama kama wanavyoonekana
   Helkoper zitasambaa jiji zima la Dar kuanzi wiki hii hadi tarehe 2 Julai atakapoondoka Rais


 Mabodigadi wa Rais Obama wakiwajibika kama wanavyoonekana.

Na Livingstone Mkoi

Sasa kazi imeaaza ndivyo tunavyoweza kusema kwa sasa. Ambapo ndege na Helkoper za kijeshi toka Jeshi la Marekani zimeanza kuwasili ikiwa ni maandalizi tu ya kuimarisha ulinzi na usalama kwenye ujio wa Rais Obama.


Wakiongea na Xdeejayz baadhi ya maofisa wa Aripot walisema kuwa " Ndege zimeanza kuingia hasa nyakati za usiku ambapo tayari kuna Helkopter kadhaa zimeshuka usiku wa jana hapa Airpot ya Zanzibar na Dar hivyo kweli hali ya usalama ni kubwa sana" Alisema ofisa huyo


Aidha watafiti wa mambo wameiambia Xdeejayz kuwa ulin

No comments:

Post a Comment