Katika hali yakushangaza , mbunge wa mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA, mh. SUGU ameporomosha tusi zito kwa waziri mkuu wa tanzania ( mh. PINDA ) akidai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama yeye.....
Kashfa ya Sugu limekuja baada ya waziri mkuu kuwaruhusu rasimi polisi kutumia nguvu ya ziada kuwadhibiti wananchi kwa kuwashushia kichapo ili wazitii sheria.....
Kauli kama hizi zitaendelea kutolewa na kila anayejisikia kusema kwa kuwa Pinda nae alisema kama alivyosema
Hili ndo tusi la mbuge wa mbeya kwa waziri mkuu...
No comments:
Post a Comment