Pages

Translate

Saturday, 22 June 2013

BARNABA WA THT AFIWA NA MAMAYE

Mwimbaji kutoka Tanzania House of Talent (THT) Barnabas Elias maarufu kama Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajiri ya leo jijini Dar es salaam.
 

Taarifa zilizothibitishwa na rafiki wa karibu na msanii mwenzake Amini , zinasema mama yake Barnaba amefariki nyumbani kwake alfajiri ya leo Jumamosi (June 22) kutokana na presha.
 
Mungu awe mfariji wenu katika kipindi hiki kigumu mulicho nacho, Amen

No comments:

Post a Comment