Pages

Translate

Sunday, 23 June 2013

BARNABA AMLILIA MAMAYE HATA ASIKUBALI KULA CHOCHOTE


Kiukweli inasikitisha sana tangu asubuhi hajatia kitu chochote tumboni analia ananyamaza,akipewa chakula hakitaki.mungu mjalie ndugu yetu mpe nguvu aweze kumzika mama yake kwa aman na upendo.
R.I.P mama BARNABA, Maziko ni kesho saa 10 katika makaburi ya mburahati,kuanzia asubuhi saa 5 tutakuwa na misa maalum kwa ajili ya marehemu mama barnabas.
 


Ndugu na majirani wa Barnaba wakimsihi japo aweke kitu tumboni  

No comments:

Post a Comment