Mwanamke mmoja ambaye mpekuzi wetu
toka Nigeria hakuweza kulitambua jina lake amechomwa kisu jichoni na
mume wake baada ya kufumaniwa akigawa tunda kwa mwanaume mwingine ambaye
ni rafiki yake wa damu....
Inaarifiwa kwamba, mume wake alipewa
taarifa na jirani yao kwamba mkewe yuko ndani na mwanaume mwingine
ambaye ni rafiki yake....
Baada ya taarifa hiyo, mume huyu alifunga safari kuelekea kwake na akamkuta mkewe akisaliti penzi lao ndani ya kitanda chao..
Kitendo hicho kiliongeza hasira kwa jamaa huyo ambaye alijikuta akimchoma mkewe kisu jichoni.
No comments:
Post a Comment