Ndani
 ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata 
utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala 
na ipo karibu na uwanja wa ndege wa  Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden

Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia  £170 kwa usiku mmoja




Nyumba
 hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na 
uwanja wa ndege wa  Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden


Moja ya chumba katika ndege hiyo


Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi


Sehemu ya kupumzikia
 

 
No comments:
Post a Comment