Kijana ambaye hakutambulika jina lake mara moja amenaswa na polisi akiwa na mfuko wa bangi.
Sakata hilo limetokea maeneo ya
Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam mara baada ya polisi kumshuku
jamaa huyo ambaye alionekana kujificha chini ya matenga ya nyanya mara
baada ya kuwaona polisi hao.
Polisi wakikagua mahali alipokuwa amejificha mtuhumiwa wa bangi.
Mfuko wa bangi aliokamatwa nao mtuhumiwa.
Mtuhumiwa akipelekwa kutuo cha polisi.
No comments:
Post a Comment