Pages

Translate

Monday 5 August 2013

HENRY KILEO AACHIWA HURU

Mahakama kuu kanda ya Tabora imewafutia kesi ya ugaidi iliyokuwa inawakabili makamanda watano wa CHADEMA akiwemo katibu wa mkoa wa Kinondoni kamanda Henry Kilewo. Uamuzi huo umetolewa muda mfupi uliopita.


No comments:

Post a Comment