BASI la Meridian linalofanya safari zake Dar es Salaam na Rombo limepata ajali mbaya eneo la Mbwewe Bagamoyo mkoani Pwani likiwa safarini kuelekea jijini Dar es Salaam likitokea Rombo. Abiria kadhaa wamepoteza maisha katika ajali hiyo japo idadi kamili bado haijafahamaika.
 Baadhi
 ya abiria wakitafuta mizigo yao baada ya basi walilokuwa wakisafiri 
nalo la Meridian kupata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo.
Baadhi
 ya abiria wakitafuta mizigo yao baada ya basi walilokuwa wakisafiri 
nalo la Meridian kupata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo. 
 
No comments:
Post a Comment