Kichanga kikiwa kimetupwa mto mita maeneo ya mabatini mjini mbeya
Askari polisi akiopoa kichanga mtoni
ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIWA ANAKIWEKA KICHANGA HICHO NDANI MFUKO BAADA YA KUKITOA KUTOKA MTONI |
HUYU NDIYE MTOTO ALIYE BAINI KUTUPWA KWA KICHANGA CHOONI ENEO LA STERIO KATA YA MAANGA JIJINI MBEYA
MWENYEKITI WA MTAA WA MAANGA MARY MWANSANKINGA AKIWA HAAMINI TUKIO LILILO MTAANI KWAKE
ASKARI WA JESHI LA ZIMA MOTO NA UOKOAJI WAKIHANGAIKA JUU YA KUOPOA KICHANGA HICHO KUTOKA CHOONI
wananchi wakisubiri kwa hamu ili washuhudie kama kweli kichanga kitaopolewa
ASKARI WAMEFANIKIWA KUKITOA KITOTO HICHO CHOONI NA KUBAINI KUWA NI CHA JINSI YA KIUME
Hawa nao wapigwa na butwaa
ASKARI WA ZIMAMOTO BAADA YA KUOSHA KICHANGA HICHO AMBACHO KILIZALIWA KATIKA UMRI WAKE
Wenye mioyo miepesi wakilia baada ya kushuhudia kichanga kilichoopolewa chooni
jeshi na polisi wa zima moto wakiondoka eneo latukio
Nyumba hii ndimo mtoto alitupwa chooni
Swali la kijiuliza ni kwamba wanadamu tumetowa wapi moyo wa kikatili kiasi hicho mpaka kufikia hatua ya kutupa mtoto uliyemzaa mwenyewe chooni bila ya huruma. wengine watafuta kwa juhudi ni nani awasaidie ilimradi tuu wapate watoto lakini kumbe kinyume chaake ni kwamba wengine hupata na huwatupa bila huruma
No comments:
Post a Comment